
Karibu kwenye Park Mobile Tanzania, jukwaa lako la kisasa linalobadilisha jinsi unavyopata na kulipia huduma za Parking kwa urahisi, haraka, na usalama zaidi.
Ni kampuni inayoongoza katika huduma za maegesho (Parking) ya magari kwa mfumo wa kidigitali. Tunaboresha uzoefu wa maegesho kwa urahisi, usalama, na ufanisi kwa wateja wetu katika maeneo ya biashara, hoteli, migahawa, viwanja vya ndege, stesheni za treni na vituo vikubwa vya mabasi
Kwa teknolojia yetu ya kisasa, wateja wetu wanaweza kufanya malipo ya maegesho mtandaoni, kuepuka tiketi za karatasi, na kupata taarifa za maegesho kwa muda halisi.
Lengo letu ni kuleta mapinduzi katika sekta ya maegesho kwa suluhisho bunifu za kidigitali, huku tukihakikisha huduma bora, za haraka, na salama.

Mlimani City Conference hall with its affordable parking spaces in Dar es salaam.
Lipia Parking kwa hatua chache. Jiunge na wateja maalumu kwa urahisi.
Tunajali muda wako, kuanzia unapofika kwenye eneo la Parking hadi kuondoka kwako.
Huduma zenye ufanisi na upekee kwa ajili yako.
Park Mobile Tanzania inakuletea mapinduzi ya huduma za maegesho kwa njia rahisi, salama, na ya kisasa!

Park Mobile Tanzania's online mode of payment
-QR Code Payments
-Malipo kwa Mitandao ya Simu
-Malipo kwa Cashier

Park Mobile Tanzania's premium parking spot
-Weka nafasi ya parking mapema kupitia App au portal yetu ya mtandaoni.
-Pata hakikisho la parking hata kwenye maeneo yenye msongamano mkubwa.

Efficient LPR technologies used in parking
Mfumo wa kisasa unaotambua gari lako kiotomatiki kwa kutumia namba ya usajili, ukirahisisha kuingia na kutoka bila kugusa kitu chochote.

Mlimani City benefits from exquisite parking service
Wamiliki wa majengo, hoteli, viwanja vya ndege, na stendi za mabasi wanaweza kutumia mfumo wetu wa usimamizi wa parking ili kuhakikisha matumizi bora ya nafasi zao.

Kupitia mfumo wetu wa kidigitali, watumiaji na wamiliki wa biashara wanaweza kupata ripoti za kina juu ya matumizi ya maegesho, mapato, na mienendo ya wateja.

Responsive help from our parking agents
Timu yetu ya huduma kwa wateja iko tayari kusaidia kwa maswali yoyote kuhusu malipo, nafasi za parking, au changamoto nyinginezo.
Lipia huduma zetu kwa njia 3 rahisi:
Mifumo yetu ya malipo ni rahisi na ya haraka . Ikizingatia muda na usalama wa malipo yako kwa wakati wote.
Njia ya Kwanza
Tambaza QR code iliyochora kwenye tiketi yako au maeneo ya parking na ulipie papo hapo kupitia simu yako bila usumbufu.
Njia ya Pili
Tumia huduma kama M-Pesa, Mixx by Yas, na Airtel Money kufanya malipo kwa haraka na salama
Njia ya Tatu
Kwa wale wanaopendelea kulipa kwa mkono, cashiers wetu waliopo kwenye maeneo ya Parking wapo tayari kukuhudumia
Tunayofuraha kukuhudumia, Park Mobile Tanzania inaamini kuwa Mteja ni Mfalme, na mapendekezo yako yataongeza nafasi kubwa katika utendaji wetu wa kazi, hivyo basi usisite kuwasiliana nasi.