Park Mobile Tanzania inakukaribisha kusoma na kupitia majarida yetu ile kuweza kufahamu jinsi tunavyowahudumia wateja wetu kwa njia nyingi tofauti. Pia blogu zetu zinaelezea zaidi namna ambavyo tunaleta mageuzi makubwa ya kidigitali kwenye uwanja mzima wa parking hapa nchini.

Mlimani city shopping mall's parking space.